Genesis 4:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndugu yake alikuwa Yubali; huyo alikuwa baba yao wanamuziki wote wapigao zeze na filimbi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kaka yake aliitwa Yubali, aliyekuwa baba wa wote wapigao zeze na filimbi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na jina la nduguye aliitwa Yubali; huyo ndiye baba yao wapigao kinubi na filimbi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndugu yake alikuwa Yubali; huyo alikuwa baba yao wanamuziki wote wapigao zeze na filimbi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kaka yake aliitwa Yubali, aliyekuwa baba wa wote wapigao zeze na filimbi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kaka yake aliitwa Yubali, aliyekuwa baba wa wote wapigao zeze na filimbi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na jina la nduguye aliitwa Yubali; huyo ndiye baba ya wote wapigao kinubi na filimbi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndugu yake alikuwa Yubali; huyo alikuwa baba yao wanamuziki wote wapigao zeze na filimbi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nalo jina la nduguye ni Yubali, yeye ndiye baba yao wapiga mazeze na mazomari.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na jina la nduguye aliitwa Yubali; huyo ndiye baba yao wapigao kinubi na filimbi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ndugu yake alikuwa Yubali; huyo alikuwa baba ya wapiga muziki wote wanaopiga zeze na filimbi.