Genesis 4:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya muda fulani, Kaini alimtolea Mwenyezi-Mungu sadaka kutokana na mazao ya shambani,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya muda, Kaini akaleta baadhi ya mazao ya shamba ikiwa sadaka kwa Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa hatimaye Kaini akaleta mazao ya ardhi, sadaka kwa Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya muda fulani, Kaini alimtolea Mwenyezi-Mungu sadaka kutokana na mazao ya shambani,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya muda Kaini akaleta baadhi ya mazao ya shamba kama sadaka kwa BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya muda Kaini akaleta baadhi ya mazao ya shamba kama sadaka kwa bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa hatimaye Kaini akaleta mazao ya ardhi, sadaka kwa BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya muda fulani, Kaini alimtolea Mwenyezi-Mungu sadaka kutokana na mazao ya shambani,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku zilipopita, Kaini akampelekea Bwana mazao ya shamba kuwa kipaji cha tambiko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa hatimaye Kaini akaleta mazao ya ardhi, sadaka kwa BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyuma ya muda fulani, Kaina akamutolea Yawe sadaka kutoka mazao ya shamba,