Genesis 4:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baadaye, Kaini akamwambia Abeli nduguye, “Twende nje shambani ” Basi, walipokuwa shambani, Kaini akamvamia Abeli nduguye, akamuua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Kaini akamwambia ndugu yake Habili, “Twende shambani.” Walipokuwa shambani, Kaini akamshambulia Habili ndugu yake, akamuua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kaini akamwambia Habili nduguye, [Twende uwandani].
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baadaye, Kaini akamwambia Abeli nduguye, “Twende nje shambani.” Basi, walipokuwa shambani, Kaini akamvamia Abeli nduguye, akamuua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Kaini akamwambia ndugu yake Abeli, “Twende shambani.” Walipokuwa shambani, Kaini akamshambulia Abeli ndugu yake, akamwua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Kaini akamwambia ndugu yake Habili, “Twende shambani.” Walipokuwa shambani, Kaini akamshambulia Habili ndugu yake, akamuua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kaini akamwambia Habili nduguye, [Twende uwandani]. Ikawa walipokuwapo uwandani, Kaini akamwinukia Habili nduguye, akamwua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baadaye, Kaini akamwambia Abeli nduguye, “Twende nje shambani ” Basi, walipokuwa shambani, Kaini akamvamia Abeli nduguye, akamuua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Kaini akaongea na nduguye Abeli; lakini walipofika shambani, ndipo, Kaini alipomwinukia nduguye Abeli, akamwua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kaini akamwambia Habili nduguye, [Twende uwandani]. Ikawa walipokuwapo uwandani, Kaini akamwinukia Habili nduguye, akamwua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Kaina akasemezana na ndugu yake Abeli. Basi, walipokuwa katika shamba, Kaina akamushambulia ndugu yake Abeli, akamwua.