Genesis 40:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yosefu akamwambia huyo mtumishi, “Tafsiri ya ndoto yako ni hii: Yale matawi matatu ni siku tatu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yusufu akamwambia, “Hii ndiyo maana yake: Matawi matatu ni siku tatu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yusufu akamwambia, Tafsiri yake ndiyo hii. Matawi matatu ni siku tatu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yosefu akamwambia huyo mtumishi, “Tafsiri ya ndoto yako ni hii: yale matawi matatu ni siku tatu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yosefu akamwambia, “Hii ndiyo maana yake: Matawi matatu ni siku tatu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yusufu akamwambia, “Hii ndiyo maana yake: Matawi matatu ni siku tatu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yusufu akamwambia, Tafsiri yake ndiyo hii. Matawi matatu ni siku tatu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yosefu akamwambia huyo mtumishi, “Tafsiri ya ndoto yako ni hii: Yale matawi matatu ni siku tatu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yosefu akamwambia: Maana yake ndio hii: hayo matawi matatu ndio siku tatu;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yusufu akamwambia, Tafsiri yake ndiyo hii. Matawi matatu ni siku tatu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yosefu akamwambia yule mutumishi: “Tafsiri ya ndoto yako ni hii: yale matawi matatu ni siku tatu.