Genesis 40:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini tafadhali usinisahau wakati mambo yatakapokwendea vema; unifanyie fadhili na kunitaja mbele ya Farao, nipate kutoka humu gerezani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini mambo yako yatakapokuwa mazuri, unikumbuke, unifanyie wema. Useme mema kunihusu kwa Farao ili unitoe huku gerezani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ila unikumbuke mimi, utakapopata mema, ukanifanyie fadhili, nakuomba, ukanitaje kwa Farao, na kunitoa katika nyumba hii.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini tafadhali usinisahau wakati mambo yatakapokwendea vema; unifanyie fadhili na kunitaja mbele ya Farao, nipate kutoka humu gerezani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini wakati mambo yatakapokuwia mazuri, unikumbuke, unifanyie wema, useme mema juu yangu kwa Farao ili niondoke huku gerezani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini wakati mambo yatakapokuwia mazuri, unikumbuke, unifanyie wema, useme mema juu yangu kwa Farao ili niondoke huku gerezani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ila unikumbuke mimi, utakapopata mema, ukanifanyie fadhili, nakuomba, ukanitaje kwa Farao, na kunitoa katika nyumba hii.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini tafadhali usinisahau wakati mambo yatakapokwendea vema; unifanyie fadhili na kunitaja mbele ya Farao, nipate kutoka humu gerezani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini utakapopata mema sharti unikumbe na kunihurumia ukiniombea kwake Farao, anitoe humu nyumbani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ila unikumbuke mimi, utakapopata mema, ukanifanyie fadhili, nakuomba, ukanitaje kwa Farao, na kunitoa katika nyumba hii.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini tafazali usinisahau wakati mambo yatakapokuendea wewe vizuri. Unitendee mema na kusema juu yangu mbele ya mufalme, nipate kutoka humu katika kifungo.