Genesis 40:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yosefu akamwambia, “Tafsiri ya ndoto yako ni hii: Zile nyungo tatu ni siku tatu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yusufu akamwambia, “Hii ndiyo maana yake: Vikapu vitatu ni siku tatu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yusufu akajibu, akasema, Tafsiri yake ndiyo hii Nyungo tatu ni siku tatu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yosefu akamwambia, “Tafsiri ya ndoto yako ni hii: zile nyungo tatu ni siku tatu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yosefu akamwambia, “Hii ndiyo maana yake: Vikapu vitatu ni siku tatu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yusufu akamwambia, “Hii ndiyo maana yake: Vikapu vitatu ni siku tatu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yusufu akajibu, akasema, Tafsiri yake ndiyo hii Nyungo tatu ni siku tatu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yosefu akamwambia, “Tafsiri ya ndoto yako ni hii: Zile nyungo tatu ni siku tatu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yosefu akajibu akisema: Maana yake ndio hii: hizo nyungo tatu ndio siku tatu;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yusufu akajibu, akasema, Tafsiri yake ndiyo hii Nyungo tatu ni siku tatu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yosefu akamwambia: “Tafsiri ya ndoto yako ni hii: vile vitunga tatu ni siku tatu.