Genesis 40:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha akamrudishia cheo chake mtunza vinywaji, apate kumpatia Farao kikombe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo akamrudisha mnyweshaji mkuu kwenye nafasi yake, ili aweke kikombe mkononi mwa Farao tena.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamrudisha mkuu wa wanyweshaji katika kazi yake ya kunywesha, naye akampa Farao kikombe mkononi mwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha akamrudishia cheo chake mtunza vinywaji, apate kumpatia Farao kikombe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo akamrudisha mnyweshaji kwenye nafasi yake, ili aweke kikombe mikononi mwa Farao tena,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo akamrudisha mnyweshaji mkuu kwenye nafasi yake, ili aweke kikombe mikononi mwa Farao tena,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akamrudisha mkuu wa wanyweshaji katika kazi yake ya kunywesha, naye akampa Farao kikombe mkononi mwake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha akamrudishia cheo chake mtunza vinywaji, apate kumpatia Farao kikombe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akimrudisha mkuu wa watunza vinywaji katika kazi yake ya kutunza vinywaji, ampe Farao kikombe mkononi mwake,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamrudisha mkuu wa wanyweshaji katika kazi yake ya kunywesha, naye akampa Farao kikombe mkononi mwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha akamurudishia mutunza vinywaji cheo chake, apate kumupatia kikombe.