Genesis 41:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya miaka miwili mizima, Farao aliota ndoto: Alijikuta amesimama kando ya mto Nili,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya miaka miwili kamili kupita, Farao aliota ndoto. Tazama alikuwa amesimama kando ya Mto Naili,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa, mwisho wa miaka miwili mizima, Farao akaota ndoto; na tazama, amesimama kando ya mto.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya miaka miwili mizima, Farao aliota ndoto: alijikuta amesimama kando ya mto Nili,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya miaka miwili kamili kupita, Farao aliota ndoto: Tazama alikuwa amesimama kando ya Mto Nile,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya miaka miwili kamili kupita, Farao aliota ndoto: Tazama alikuwa amesimama kando ya Mto Naili,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa, baada ya miaka miwili mizima, Farao akaota ndoto; na tazama, amesimama kando ya mto.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya miaka miwili mizima, Farao aliota ndoto: Alijikuta amesimama kando ya mto Nili,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Miaka miwili ilipopita, Farao akaota, akajiona, akisimama kando ya mto.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa, mwisho wa miaka miwili mizima, Farao akaota ndoto; na tazama, amesimama kando ya mto.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ilipofika mwisho wa miaka miwili mizima, mufalme wa Misri akaota ndoto: alijikuta amesimama kando ya muto Nili,