Genesis 41:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usiku mmoja tuliota ndoto, kila mmoja ndoto yake tofauti.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika usiku mmoja, kila mmoja wetu aliota ndoto, na kila ndoto ilikuwa na maana yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tukaota ndoto usiku mmoja, mimi na yeye; kila mtu kwa tafsiri ya ndoto yake tukaota.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usiku mmoja tuliota ndoto, kila mmoja ndoto yake tofauti.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kila mmoja wetu aliota ndoto katika usiku mmoja na kila ndoto ilikuwa na maana yake tofauti.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kila mmoja wetu aliota ndoto katika usiku mmoja na kila ndoto ilikuwa na maana yake tofauti.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tukaota ndoto usiku mmoja, mimi na yeye; kila mtu kwa tafsiri ya ndoto yake tukaota.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usiku mmoja tuliota ndoto, kila mmoja ndoto yake tofauti.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ndipo, tulipoota ndoto usiku mmoja mimi na yeye, tulikuwa tumeota kila mtu ndoto yake yenye maana yake yeye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tukaota ndoto usiku mmoja, mimi na yeye; kila mtu kwa tafsiri ya ndoto yake tukaota.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usiku mumoja tuliota ndoto, kila mumoja ndoto yake tofauti.