Genesis 41:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alivyotafsiri ndivyo ilivyotokea: Mimi nikarudishwa kazini kwangu, na yule mwoka mikate mkuu akatundikwa mtini.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nayo mambo yakawa jinsi alivyotufasiria ndoto zetu: Mimi nilirudishwa kazini mwangu, naye huyo mwingine akaangikwa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa, kama vile alivyotufasiria ndivyo ilivyotokea; mimi nalirudishwa katika kazi yangu, na yeye alitundikwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alivyotafsiri ndivyo ilivyotokea: mimi nikarudishwa kazini kwangu, na yule mwoka mikate mkuu akatundikwa mtini.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nayo mambo yakawa sawa kabisa na jinsi alivyotufasiria ndoto zetu: Mimi nilirudishwa kazini mwangu na huyo mtu mwingine akaangikwa.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nayo mambo yakawa sawa kabisa na jinsi alivyotufasiria ndoto zetu: Mimi nilirudishwa kazini mwangu na huyo mtu mwingine akaangikwa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa, kama vile alivyotufasiria ndivyo ilivyotokea; mimi nilirudishwa katika kazi yangu, na yeye alitundikwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alivyotafsiri ndivyo ilivyotokea: Mimi nikarudishwa kazini kwangu, na yule mwoka mikate mkuu akatundikwa mtini.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Navyo, alivyotufumbulia, vikawa hivyo; mimi walinirudisha katika kazi, naye mwenzangu akanyongwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa, kama vile alivyotufasiria ndivyo ilivyotokea; mimi nalirudishwa katika kazi yangu, na yeye alitundikwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alivyoeleza ndivyo ilivyotokea: mimi nikarudishwa ndani ya kazi yangu na yule mupishi mukubwa wa mikate akatundikwa juu ya muti.”