Genesis 41:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yosefu akamjibu Farao, “Sina uwezo huo; lakini Mungu atakupa jibu lifaalo.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yusufu akamjibu Farao, “Siwezi kuifasiri, lakini Mungu atampa Farao jibu analolihitaji.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yusufu akamjibu Farao, akisema, Si mimi; Mungu atampa Farao majibu ya amani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yosefu akamjibu Farao, “Sina uwezo huo; lakini Mungu atakupa jibu lifaalo.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yosefu akamjibu Farao, “Siwezi kuifasiri, lakini Mungu atampa Farao jibu analolihitaji.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yusufu akamjibu Farao, “Siwezi kuifasiri, lakini Mungu atampa Farao jibu analolihitaji.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yusufu akamjibu Farao, akisema, Si mimi; Mungu atampa Farao majibu ya amani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yosefu akamjibu Farao, “Sina uwezo huo; lakini Mungu atakupa jibu lifaalo.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yosefu akamjibu Farao kwamba: Sio mimi, Mungu na ayafunue yatakayompatia Farao utengemano!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yusufu akamjibu Farao, akisema, Si mimi; Mungu atampa Farao majibu ya amani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yosefu akamujibu: “Sina uwezo ule; lakini Mungu atakupa jibu linalofaa.”