Genesis 41:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo Farao akamwambia Yosefu, “Niliota kwamba nimesimama kando ya mto Nili,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Farao akamwambia Yusufu, “Katika ndoto yangu nilikuwa nimesimama ukingoni mwa Mto Naili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Farao akamwambia Yusufu, Katika ndoto yangu nalikuwa nikisimama ukingoni mwa mto;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo Farao akamwambia Yosefu, “Niliota kwamba nimesimama kando ya mto Nili,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Farao akamwambia Yosefu, “Katika ndoto yangu nilikuwa nimesimama ukingoni mwa Mto Nile,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Farao akamwambia Yusufu, “Katika ndoto yangu nilikuwa nimesimama ukingoni mwa Mto Naili,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Farao akamwambia Yusufu, Katika ndoto yangu nilikuwa nimesimama ukingoni mwa mto;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo Farao akamwambia Yosefu, “Niliota kwamba nimesimama kando ya mto Nili,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Farao alipomwambia Yosefu: Katika ndoto yangu nimejiona, nikisimama ukingoni kwa mto.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Farao akamwambia Yusufu, Katika ndoto yangu nalikuwa nikisimama ukingoni mwa mto;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu mufalme akamwambia Yosefu: “Niliota kwamba nimesimama kando ya muto Nili,