Genesis 41:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
nikaona ng'ombe saba wazuri na wanono wakitoka mtoni na kula nyasi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nikawaona ng’ombe saba, wazuri na wanono, wakijitokeza kutoka mtoni, wakaja kujilisha kwenye matete.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na tazama, ng'ombe saba wanatoka mtoni, wanono, wazuri, wakajilisha manyasini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
nikaona ng'ombe saba wazuri na wanono wakitoka mtoni na kula nyasi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nikawaona ng'ombe saba, wazuri na wanono, wakijitokeza kutoka mtoni wakaja kujilisha kwenye manyasi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nikawaona ng’ombe saba, wazuri na wanono, wakijitokeza kutoka mtoni wakaja kujilisha kwenye matete.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na tazama, ng'ombe saba wanatoka mtoni, wanono, wazuri, wakajilisha nyasini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
nikaona ng'ombe saba wazuri na wanono wakitoka mtoni na kula nyasi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mara nikaona, ng'ombe saba wazuri mno walionona wakitoka mtoni, wakapanda kwenda kula majanini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na tazama, ng’ombe saba wanatoka mtoni, wanono, wazuri, wakajilisha manyasini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
nikaona ngombe saba wazuri na wanono wakitoka katika muto na kula nyasi.