Genesis 41:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hao wakafuatwa na ng'ombe wengine saba dhaifu, wembamba na wamekonda sana. Mimi sijapata kamwe kuona ng'ombe wa hali hiyo katika nchi ya Misri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya hao, ng’ombe wengine saba wadhaifu wakatokea, wabaya sana na waliokonda. Kamwe sikuwahi kuona ng’ombe wabaya jinsi hiyo katika nchi yote ya Misri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha, tazama, ng'ombe saba wengine wakapanda baada yao, dhaifu, wabaya sana, wamekonda; katika nchi yote ya Misri sijaona kama hao kwa udhaifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hao wakafuatwa na ng'ombe wengine saba dhaifu, wembamba na wamekonda sana. Mimi sijapata kamwe kuona ng'ombe wa hali hiyo katika nchi ya Misri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya hao, ng'ombe wengine saba wadhaifu wakatokea, wabaya sana na waliokonda. Kamwe sikuwahi kuona ng'ombe wabaya jinsi hiyo katika nchi yote ya Misri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya hao, ng’ombe wengine saba wadhaifu wakatokea, wabaya sana na waliokonda. Kamwe sikuwahi kuona ng’ombe wabaya jinsi hiyo katika nchi yote ya Misri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha, tazama, ng'ombe saba wengine wakapanda baada yao, dhaifu, wabaya sana, wamekonda; katika nchi yote ya Misri sijaona kama hao kwa udhaifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hao wakafuatwa na ng'ombe wengine saba dhaifu, wembamba na wamekonda sana. Mimi sijapata kamwe kuona ng'ombe wa hali hiyo katika nchi ya Misri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha nikaona, ng'ombe saba wengine wakitoka mtoni kuwafuata wale, ni wenye kukonda kuwa wabaya sanasana kwa kuwa wenye nyama kavu; katika nchi zote za Misri sijaona bado ng'ombe wabaya kama hao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha, tazama, ng’ombe saba wengine wakapanda baada yao, dhaifu, wabaya sana, wamekonda; katika nchi yote ya Misri sijaona kama hao kwa udhaifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hao wakafuatwa na ngombe wengine saba zaifu, wembamba na wamekonda sana. Mimi sijapata kuona ngombe wa hali hiyo katika inchi ya Misri.