Genesis 41:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
akaona ng'ombe saba wazuri na wanono wakitoka mtoni na kula nyasi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wakati ng’ombe saba, wazuri na wanono, walitokea mtoni wakajilisha kwenye matete.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na tazama, ng'ombe saba wazuri, wanono, walipanda kutoka mtoni, wakajilisha manyasini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
akaona ng'ombe saba wazuri na wanono wakitoka mtoni na kula nyasi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wakati ng'ombe saba, wazuri na wanono, walitokea mtoni wakajilisha kwenye manyasi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wakati ng’ombe saba, wazuri na wanono, walitokea mtoni wakajilisha kwenye matete.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na tazama, ng'ombe saba wazuri, wanono, walipanda kutoka mtoni, wakajilisha manyasini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
akaona ng'ombe saba wazuri na wanono wakitoka mtoni na kula nyasi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaona, ng'ombe saba wazuri mno walionona wakitoka mtoni, wakapanda kwenda kula majanini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na tazama, ng’ombe saba wazuri, wanono, walipanda kutoka mtoni, wakajilisha manyasini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
akaona ngombe saba wazuri na wanono wakitoka ndani ya muto na kula nyasi.