Genesis 41:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, wale ng'ombe waliokonda sana wakawala wale ng'ombe saba wanono.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hao ng’ombe waliokonda na wabaya sana wakawala wale ng’ombe saba walionona waliojitokeza kwanza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hao ng'ombe waliokonda, wabaya, wakawala wale ng'ombe saba wa kwanza, wale wanono.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, wale ng'ombe waliokonda sana wakawala wale ng'ombe saba wanono.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hao ng'ombe waliokonda na wabaya sana wakawala wale ng'ombe saba walionona waliojitokeza kwanza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hao ng’ombe waliokonda na wabaya sana wakawala wale ng’ombe saba walionona waliojitokeza kwanza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hao ng'ombe waliokonda, wabaya, wakawala wale ng'ombe saba wa kwanza, wale wanono.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, wale ng'ombe waliokonda sana wakawala wale ng'ombe saba wanono.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hao ng'ombe wabaya waliokonda hivyo wakawala wale ng'ombe saba wa kwanza walionona.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hao ng’ombe waliokonda, wabaya, wakawala wale ng’ombe saba wa kwanza, wale wanono.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, wale ngombe waliokonda sana wakakula wale ngombe saba wanono.