Genesis 41:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha nikaota ndoto nyingine: Niliona masuke saba mazuri yaliyojaa nafaka yakichipua katika bua moja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Pia katika ndoto zangu niliona masuke saba ya nafaka, yamejaa na mazuri, yanakua katika bua moja.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha nikaona katika ndoto yangu, na tazama, masuke saba yanatokeza katika bua moja, mema, yamejaa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha nikaota ndoto nyingine: niliona masuke saba mazuri yaliyojaa nafaka yakichipua katika bua moja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Pia katika ndoto zangu niliona masuke saba ya nafaka, yamejaa na mazuri, yanakua katika bua moja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Pia katika ndoto zangu niliona masuke saba ya nafaka, yamejaa na mazuri, yanakua katika bua moja.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha nikaona katika ndoto yangu, na tazama, masuke saba yanatokeza katika bua moja, mema, yamejaa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha nikaota ndoto nyingine: Niliona masuke saba mazuri yaliyojaa nafaka yakichipua katika bua moja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nilipoota tena nikaona, masuke saba yaliyojaa ngano kuwa mazuri yakitoka katika bua moja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha nikaona katika ndoto yangu, na tazama, masuke saba yanatokeza katika bua moja, mema, yamejaa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha nikaota ndoto ingine: nikaona masuke saba mazuri yaliyojaa ngano yakichipuka katika bua moja.