Genesis 41:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Halafu yakafuatwa na masuke mengine saba matupu, membamba na yaliyokaushwa na upepo mkavu wa jangwani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya hayo, masuke mengine saba yakachipua, yaliyonyauka, membamba na yamekaushwa na upepo wa mashariki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na tazama, masuke saba membamba, dhaifu, yamekaushwa na upepo wa mashariki, yakatokeza baada yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Halafu yakafuatwa na masuke mengine saba matupu, membamba na yaliyokaushwa na upepo mkavu wa jangwani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya hayo masuke mengine saba yakachipua, yaliyonyauka, membamba na yamekaushwa na upepo wa mashariki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya hayo masuke mengine saba yakachipua, yaliyonyauka, membamba na yamekaushwa na upepo wa mashariki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na tazama, masuke saba membamba, dhaifu, yamekaushwa na upepo wa mashariki, yakatokeza baada yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Halafu yakafuatwa na masuke mengine saba matupu, membamba na yaliyokaushwa na upepo mkavu wa jangwani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha nikaona masuke saba yaliyochipuka nyuma yao, nayo ni matupu na membamba kwa kunyaushwa na upepo wenye joto.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na tazama, masuke saba membamba, dhaifu, yamekaushwa na upepo wa mashariki, yakatokeza baada yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu yakafuatwa na masuke mengine saba matupu, membamba na yaliyokaushwa na upepo mukali wa jangwa.