Genesis 41:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yale masuke saba membamba yakayameza yale masuke saba mazuri. Basi, mimi niliwaambia wachawi ndoto hizo lakini hakuna mtu aliyeweza kunifafanulia.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yale masuke membamba ya nafaka yakayameza yale masuke saba mazuri yaliyojaa nafaka. Nimewaeleza waaguzi, wala hakuna yeyote aliyeweza kunifasiria.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hayo masuke dhaifu yakameza yale masuke saba mema. Nami nikawaambia hao waganga, wala hakuna aliyeweza kunionyesha maana yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yale masuke saba membamba yakayameza yale masuke saba mazuri. Basi, mimi niliwaambia wachawi ndoto hizo lakini hakuna mtu aliyeweza kunifafanulia.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yale masuke membamba ya nafaka yakayameza yale masuke saba mazuri yaliyojaa nafaka. Nimewaeleza waaguzi, wala hakuna ye yote aliyeweza kunifasiria.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yale masuke membamba ya nafaka yakayameza yale masuke saba mazuri yaliyojaa nafaka. Nimewaeleza waaguzi, wala hakuna yeyote aliyeweza kunifasiria.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hayo masuke dhaifu yakayala yale masuke saba mema. Nami nikawaambia hao waganga, wala hakuna aliyeweza kunionesha maana yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yale masuke saba membamba yakayameza yale masuke saba mazuri. Basi, mimi niliwaambia wachawi ndoto hizo lakini hakuna mtu aliyeweza kunifafanulia.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hayo masuke membamba yakayameza yale masuke mazuri. Nami nikawaambia waaguaji hizi ndoto, lakini hakuna anayeweza kuniambia maana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hayo masuke dhaifu yakameza yale masuke saba mema. Nami nikawaambia hao waganga, wala hakuna aliyeweza kunionyesha maana yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yale masuke saba membamba yakameza yale masuke saba mazuri. Basi, mimi nikawaambia wachawi ndoto hizo lakini hakuna mutu aliyeweza kunifafanulia.”