Genesis 41:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama nilivyokueleza, ee Farao, Mungu amekufunulia mambo atakayofanya hivi karibuni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Ni kama nilivyomwambia Farao. Mungu amemwonesha Farao jambo analokusudia kufanya karibuni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndivyo nilivyomwambia Farao, ya kwamba Mungu amemwonyesha Farao atakayoyafanya hivi karibu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama nilivyokueleza, ee Farao, Mungu amekufunulia mambo atakayofanya hivi karibuni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Ni kama vile nilivyomwambia Farao: Mungu amemwonyesha Farao jambo analokusudia kufanya karibuni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Ni kama vile nilivyomwambia Farao: Mungu amemwonyesha Farao jambo analokusudia kufanya karibuni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndivyo nilivyomwambia Farao, ya kwamba Mungu amemwonesha Farao atakayoyafanya hivi karibuni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama nilivyokueleza, ee Farao, Mungu amekufunulia mambo atakayofanya hivi karibuni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hili ndilo lile neno, nililomwambia Farao, ya kuwa Mungu amemwonyesha Farao atakayoyafanya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndivyo nilivyomwambia Farao, ya kwamba Mungu amemwonyesha Farao atakayoyafanya hivi karibu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama vile nilivyokuelezea, ee mufalme, Mungu amekufunulia mambo atakayofanya sasa hivi.