Genesis 41:29 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutakuwa na miaka saba ya shibe katika nchi nzima ya Misri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Miaka saba ya shibe inakuja katika nchi yote ya Misri,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, miaka saba ya shibe inakuja, katika nchi yote ya Misri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutakuwa na miaka saba ya shibe katika nchi nzima ya Misri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Miaka saba ya neema inakuja katika nchi yote ya Misri,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Miaka saba ya neema inakuja katika nchi yote ya Misri,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, miaka saba ya shibe inakuja, katika nchi yote ya Misri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutakuwa na miaka saba ya shibe katika nchi nzima ya Misri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tazama! Inakuja miaka saba yenye shibe kubwa katika nchi nzima ya Misri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, miaka saba ya shibe inakuja, katika nchi yote ya Misri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutakuwa miaka saba ya shibe katika inchi nzima ya Misri.