Genesis 41:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Halafu, baada ya hao, ng'ombe wengine saba waliokonda sana wakatoka katika mto Nili, wakaja na kusimama karibu na wale ng'ombe wazuri na wanono, kando ya mto.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada yao ng’ombe wengine saba, wabaya na waliokonda, wakatokea Mto Naili, wakasimama kando ya wale wanono ukingoni mwa mto.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na tazama, ng'ombe saba wengine wakapanda nyuma yao kutoka mtoni, wabaya, wamekonda, wakasimama karibu na wale ng'ombe wengine ukingoni mwa mto.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Halafu, baada ya hao, ng'ombe wengine saba waliokonda sana wakatoka katika mto Nili, wakaja na kusimama karibu na wale ng'ombe wazuri na wanono, kando ya mto.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada yao ng'ombe wengine saba, wabaya na waliokonda, wakatokea mtoni Nile wakasimama kando ya wale wanono ukingoni mwa mto.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada yao ng’ombe wengine saba, wabaya na waliokonda, wakatokea mtoni Naili wakasimama kando ya wale wanono ukingoni mwa mto.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na tazama, ng'ombe saba wengine wakapanda nyuma yao kutoka mtoni, wabaya, wamekonda, wakasimama karibu na wale ng'ombe wengine ukingoni mwa mto.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Halafu, baada ya hao, ng'ombe wengine saba waliokonda sana wakatoka katika mto Nili, wakaja na kusimama karibu na wale ng'ombe wazuri na wanono, kando ya mto.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akaona, ng'ombe saba wengine wakitoka mtoni kuwafuata wale, ni wabaya mno wenye nyama kavu, wakaenda kusimama kando yao wale ng'ombe wa kwanza ukingoni kwa mto.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na tazama, ng’ombe saba wengine wakapanda nyuma yao kutoka mtoni, wabaya, wamekonda, wakasimama karibu na wale ng’ombe wengine ukingoni mwa mto.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu, nyuma ya wale, ngombe wengine saba waliokonda sana wakatoka katika muto Nili, wakakuja na kusimama karibu na wale ngombe wazuri na wanono, kando ya muto.