Genesis 41:30 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini baadaye itafuata miaka saba ya njaa, hata hiyo shibe isahaulike kabisa. Njaa hiyo itaiangamiza nchi hii.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
lakini itafuata miaka saba ya njaa. Ndipo shibe yote ya Misri itasahaulika na njaa itaikumba nchi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha kutakuja miaka saba ya njaa baada yake; na shibe ile yote itasahauliwa katika nchi ya Misri, na njaa itaiharibu nchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini baadaye itafuata miaka saba ya njaa, hata hiyo shibe isahaulike kabisa. Njaa hiyo itaiangamiza nchi hii.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
lakini itafuata miaka saba ya njaa. Ndipo neema yote ya Misri itasahaulika na njaa itaikumba nchi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
lakini itafuata miaka saba ya njaa. Ndipo neema yote ya Misri itasahaulika na njaa itaikumba nchi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha kutakuja miaka saba ya njaa baada yake; na shibe ile yote itasahauliwa katika nchi ya Misri, na njaa itaiharibu nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini baadaye itafuata miaka saba ya njaa, hata hiyo shibe isahaulike kabisa. Njaa hiyo itaiangamiza nchi hii.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Baadaye itatokea miaka saba yenye njaa; ndipo, hiyo shibe yote itakaposahauliwa katika nchi ya Misri, nayo njaa itaimaliza nchi hii.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha kutakuja miaka saba ya njaa baada yake; na shibe ile yote itasahauliwa katika nchi ya Misri, na njaa itaiharibu nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini kisha itafuata miaka saba ya njaa, hata hiyo shibe isahaulike kabisa. Njaa hiyo itaangamiza inchi hii.