Genesis 41:31 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Shibe hiyo itasahaulika kabisa kwa sababu njaa itakayofuata itakuwa kali mno.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Shibe iliyokuwa katika nchi haitakumbukwa, kwa sababu njaa itakayofuata itakuwa kali mno.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wala shibe ile haitajulikana katika nchi kwa sababu ya njaa inayokuja baadaye, maana itakuwa nzito sana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Shibe hiyo itasahaulika kabisa kwa sababu njaa itakayofuata itakuwa kali mno.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Neema iliyokuwa katika nchi haitakumbukwa, kwa sababu njaa itakayofuata itakuwa kali mno.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Neema iliyokuwa katika nchi haitakumbukwa, kwa sababu njaa itakayofuata itakuwa kali mno.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wala shibe ile haitajulikana katika nchi kwa sababu ya njaa inayokuja baadaye, maana itakuwa kali sana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Shibe hiyo itasahaulika kabisa kwa sababu njaa itakayofuata itakuwa kali mno.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hiyo shibe haitajulikana kabisa katika nchi hii kwa ajili ya hiyo njaa itakayoifuata, kwani itakuwa nzito sana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wala shibe ile haitajulikana katika nchi kwa sababu ya njaa inayokuja baadaye, maana itakuwa nzito sana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Shibe hiyo itasahaulika kabisa kwa sababu njaa itakayofuata itakuwa kali sana.