Genesis 41:34 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tena, ee Farao, uwateue wasimamizi kadhaa hapa nchini, uwaagize wakusanye sehemu ya tano ya mavuno yote ya Misri katika kipindi hiki cha miaka saba ya shibe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Farao na aweke wasimamizi nchini kote, wakusanye sehemu ya tano ya mavuno ya Misri katika miaka hii saba ya shibe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Farao na afanye hivi, tena akaweke wasimamizi juu ya nchi, na kutwaa sehemu ya tano katika nchi ya Misri, katika miaka hii saba ya kushiba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tena, ee Farao, uwateue wasimamizi kadhaa hapa nchini, uwaagize wakusanye sehemu ya tano ya mavuno yote ya Misri katika kipindi hiki cha miaka saba ya shibe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Farao na aweke wenye amri nchini kote wakusanye sehemu ya tano ya mavuno ya Misri katika miaka hii saba ya neema.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Farao na aweke wenye amri nchini kote wakusanye sehemu ya tano ya mavuno ya Misri katika miaka hii saba ya neema.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Farao na afanye hivi, tena akaweke wasimamizi juu ya nchi, na kutwaa sehemu ya tano katika nchi ya Misri, katika miaka hii saba ya kushiba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tena, ee Farao, uwateue wasimamizi kadhaa hapa nchini, uwaagize wakusanye sehemu ya tano ya mavuno yote ya Misri katika kipindi hiki cha miaka saba ya shibe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Farao na ampe nguvu ya kuweka wasimamizi katika nchi hii, wawatoze watu wa Misri fungu la tano hiyo miaka saba ya shibe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Farao na afanye hivi, tena akaweke wasimamizi juu ya nchi, na kutwaa sehemu ya tano katika nchi ya Misri, katika miaka hii saba ya kushiba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tena, ee mufalme, uchague wasimamizi wamoja hapa katika inchi, uwaagize wakusanye sehemu ya tano ya mavuno yote ya Misri katika kipindi hiki cha miaka saba ya shibe.