Genesis 41:35 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uwaagize wasimamizi hao wakusanye chakula chote katika miaka saba ijayo ya mavuno kwa wingi. Nafaka hiyo na iwekwe chini ya mamlaka yako, ee Farao, iwe akiba ya chakula kwa miji yote, nao waitunze nafaka hiyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakusanye chakula chote katika miaka hii saba ya neema inayokuja na kuhifadhi nafaka chini ya mamlaka ya Farao, iwe akiba ya chakula katika miji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wakusanye chakula chote cha miaka hii myema ijayo, wakaweke akiba ya nafaka mkononi mwa Farao wakakilinde kuwa chakula katika miji.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uwaagize wasimamizi hao wakusanye chakula chote katika miaka saba ijayo ya mavuno kwa wingi. Nafaka hiyo na iwekwe chini ya mamlaka yako, ee Farao, iwe akiba ya chakula kwa miji yote, nao waitunze nafaka hiyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakusanye chakula chote katika miaka hii saba ya neema inayokuja na kuhifadhi nafaka chini ya mamlaka ya Farao, iwe akiba ya chakula katika miji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakusanye chakula chote katika miaka hii saba ya neema inayokuja na kuhifadhi nafaka chini ya mamlaka ya Farao, iwe akiba ya chakula katika miji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wakusanye chakula chote cha miaka hii myema ijayo, wakaweke akiba ya nafaka mkononi mwa Farao wakakilinde kuwa chakula katika miji.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uwaagize wasimamizi hao wakusanye chakula chote katika miaka saba ijayo ya mavuno kwa wingi. Nafaka hiyo na iwekwe chini ya mamlaka yako, ee Farao, iwe akiba ya chakula kwa miji yote, nao waitunze nafaka hiyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo vyakula vyote na wavikusanye katika hiyo miaka saba mizuri ijayo, wazilimbike hizo ngano vyanjani mwa Farao, waziangalie vema kuwa akiba za kula wao waliomo mijini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wakusanye chakula chote cha miaka hii myema ijayo, wakaweke akiba ya nafaka mkononi mwa Farao wakakilinde kuwa chakula katika miji.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uwaagize wasimamizi wale wakusanye chakula chote katika miaka saba inayokuja ya mavuno kwa wingi. Ngano hiyo iwekwe chini ya mamlaka yako, ee mufalme, ikuwe akiba ya chakula kwa miji yote, nao waitunze ngano hiyo.