Genesis 41:36 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Chakula hicho kitakuwa akiba ya kinga kwa nchi ya Misri isije ikaangamia kutokana na njaa ya miaka saba itakayofuata.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Chakula hiki kitakuwa akiba ya tahadhari kwa ajili ya nchi, ili kitumike katika ile miaka saba ya njaa itakayokuja Misri, ili nchi isiharibiwe na njaa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hicho chakula kitakuwa akiba ya nchi kwa ajili ya miaka hiyo saba ya njaa, itakayokuwa katika nchi ya Misri, nchi isiharibike kwa njaa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Chakula hicho kitakuwa akiba ya kinga kwa nchi ya Misri isije ikaangamia kutokana na njaa ya miaka saba itakayofuata.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Chakula hiki kitakuwa akiba ya tahadhari kwa ajili ya nchi, ili kitumike katika ile miaka saba ya njaa itakayokuja Misri, ili nchi isiharibiwe na njaa.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Chakula hiki kitakuwa akiba ya tahadhari kwa ajili ya nchi, ili kitumike katika ile miaka saba ya njaa itakayokuja Misri, ili nchi isiharibiwe na njaa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hicho chakula kitakuwa akiba ya nchi kwa ajili ya miaka hiyo saba ya njaa, itakayokuwa katika nchi ya Misri, nchi isiharibike kwa njaa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Chakula hicho kitakuwa akiba ya kinga kwa nchi ya Misri isije ikaangamia kutokana na njaa ya miaka saba itakayofuata.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watu wa nchi hii na wawekewe hivyo vilaji, wapate kula, hiyo miaka saba ya njaa itakapoingia katika nchi ya Misri, watu wa nchi wasimalizike kwa njaa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hicho chakula kitakuwa akiba ya nchi kwa ajili ya miaka hiyo saba ya njaa, itakayokuwa katika nchi ya Misri, nchi isiharibike kwa njaa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Chakula hicho kitakuwa akiba ya kukinga inchi ya Misri isiangamie kutokana na njaa ya miaka saba itakayofuata.”