Genesis 41:39 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha akamwambia Yosefu, “Kwa kuwa Mungu amekufunulia haya yote, hakuna mtu mwingine mwenye busara na hekima kama wewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Farao akamwambia Yusufu, “Maadamu Mungu amekufunulia haya yote, hakuna yeyote mwenye akili na hekima kama wewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Farao akamwambia Yusufu, Kwa kuwa Mungu amekufahamisha hayo yote, hapana mwenye akili na hekima kama wewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha akamwambia Yosefu, “Kwa kuwa Mungu amekufunulia haya yote, hakuna mtu mwingine mwenye busara na hekima kama wewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Farao akamwambia Yosefu, “Maadamu Mungu amekufunulia yote haya, hakuna mwingine ye yote mwenye akili na hekima kama wewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Farao akamwambia Yusufu, “Maadamu Mungu amekufunulia yote haya, hakuna mwingine yeyote mwenye akili na hekima kama wewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Farao akamwambia Yusufu, Kwa kuwa Mungu amekufahamisha hayo yote, hapana mwenye akili na hekima kama wewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha akamwambia Yosefu, “Kwa kuwa Mungu amekufunulia haya yote, hakuna mtu mwingine mwenye busara na hekima kama wewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Farao akamwambia: Kuwa kuwa Mungu amekujulisha haya yote, basi, hakuna mwenye akili na werevu wa kweli kama wewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Farao akamwambia Yusufu, Kwa kuwa Mungu amekufahamisha hayo yote, hapana mwenye akili na hekima kama wewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha akamwambia Yosefu: “Kwa sababu Mungu amekufunulia haya yote, hakuna mutu mwingine mwenye akili na hekima kama wewe.