Genesis 41:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hao ng'ombe waliokonda sana wakawala wale wengine saba wazuri na wanono. Hapo Farao akaamka usingizini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale ng’ombe wabaya na waliokonda wakawala wale saba wazuri na wanono. Kisha Farao akaamka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha hao ng'ombe wabaya waliokonda wakawala wale ng'ombe saba wazuri, wanono. Basi Farao akaamka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hao ng'ombe waliokonda sana wakawala wale wengine saba wazuri na wanono. Hapo Farao akaamka usingizini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wale ng'ombe wabaya na waliokonda wakawala wale saba wazuri na wanono. Kisha Farao akaamka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale ng’ombe wabaya na waliokonda wakawala wale saba wazuri na wanono. Kisha Farao akaamka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha hao ng'ombe wabaya waliokonda wakawala wale ng'ombe saba wazuri, wanono. Basi Farao akaamka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hao ng'ombe waliokonda sana wakawala wale wengine saba wazuri na wanono. Hapo Farao akaamka usingizini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha hawa ng'ombe wabaya wenye nyama kavu wakawala wale ng'ombe saba wazuri walionona; ndipo, Farao alipoamka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha hao ng’ombe wabaya waliokonda wakawala wale ng’ombe saba wazuri, wanono. Basi Farao akaamka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wale ngombe waliokonda sana wakakula wale wengine saba wazuri na wanono. Hapo mufalme akaamuka toka usingizi.