Genesis 41:41 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, sasa nakuteua rasmi kuwa mkuu wa nchi yote ya Misri!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo Farao akamwambia Yusufu, “Sasa nakuweka uwe msimamizi wa nchi yote ya Misri.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Farao akamwambia Yusufu, Tazama, nimekuweka juu ya nchi yote ya Misri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, sasa nakuteua rasmi kuwa mkuu wa nchi yote ya Misri!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo Farao akamwambia Yosefu, “Sasa nakuweka uwe msimamizi wa nchi yote ya Misri.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo Farao akamwambia Yusufu, “Sasa nakuweka uwe msimamizi wa nchi yote ya Misri.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Farao akamwambia Yusufu, Tazama, nimekuweka juu ya nchi yote ya Misri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, sasa nakuteua rasmi kuwa mkuu wa nchi yote ya Misri!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Farao akamwambia Yosefu tena: Tazama! Nimekupa ukuu wa nchi yote ya Misri nzima.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Farao akamwambia Yusufu, Tazama, nimekuweka juu ya nchi yote ya Misri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, sasa ninakuchagua kuwa mukubwa wa inchi yote ya Misri!”