Genesis 41:44 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Zaidi ya hayo, Farao akamwambia Yosefu, “Mimi ndimi Farao! Nasema: Mtu yeyote katika nchi nzima ya Misri asiinue mkono wala mguu wake bila kibali chako.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Farao akamwambia Yusufu, “Mimi ni Farao, lakini pasipo neno lako, hakuna mtu mwenye ruhusa kuinua mkono au mguu katika nchi yote ya Misri.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Farao akamwambia Yusufu, Mimi ni Farao, na bila amri yako, mtu asiinue mkono wala mguu katika nchi yote ya Misri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Zaidi ya hayo, Farao akamwambia Yosefu, “Mimi ndimi Farao! Nasema: mtu yeyote katika nchi nzima ya Misri asiinue mkono wala mguu wake bila kibali chako.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Farao akamwambia Yosefu, “Mimi ni Farao, lakini pasipo neno lako, hakuna mtu mwenye ruhusa kuinua mkono au mguu katika nchi yote ya Misri.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Farao akamwambia Yusufu, “Mimi ni Farao, lakini pasipo neno lako, hakuna mtu mwenye ruhusa kuinua mkono au mguu katika nchi yote ya Misri.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Farao akamwambia Yusufu, Mimi ni Farao, na bila amri yako, mtu asiinue mkono wala mguu katika nchi yote ya Misri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Zaidi ya hayo, Farao akamwambia Yosefu, “Mimi ndimi Farao! Nasema: Mtu yeyote katika nchi nzima ya Misri asiinue mkono wala mguu wake bila kibali chako.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Farao akamwambia Yosefu: Kweli mimi ni Farao, lakini usipotaka wewe, mtu ye yote katika nchi yote ya Misri asiinue mkono wala mguu wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Farao akamwambia Yusufu, Mimi ni Farao, na bila amri yako, mtu asiinue mkono wala mguu katika nchi yote ya Misri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zaidi ya hayo, mufalme akamwambia Yosefu: “Mimi ni mufalme wa Misri! Ninasema hivi: mutu yeyote katika inchi nzima ya Misri asiinue mukono wala muguu wake bila ruhusu yako.”