Genesis 41:47 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ikawa, katika miaka ile saba ya shibe, mashamba ya Misri yakatoa mazao kwa wingi sana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika ile miaka saba ya shibe nchi ilizaa mazao kwa wingi sana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa katika miaka ile saba ya shibe, nchi ikazaa kwa wingi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ikawa, katika miaka ile saba ya shibe, mashamba ya Misri yakatoa mazao kwa wingi sana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika ile miaka saba ya neema nchi ilizaa mazao kwa wingi sana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika ile miaka saba ya neema nchi ilizaa mazao kwa wingi sana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa katika miaka ile saba ya shibe, nchi ilitoa mazao mengi kabla ya kuja kwa miaka ya njaa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ikawa, katika miaka ile saba ya shibe, mashamba ya Misri yakatoa mazao kwa wingi sana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hiyo miaka saba ya shibe nchi ikapata neema nyingi sana,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa katika miaka ile saba ya shibe, nchi ikazaa kwa wingi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika miaka ile saba ya shibe, mashamba ya Misri yakatoa mazao kwa wingi sana.