Genesis 41:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alipolala tena, akaota mara ya pili. Aliona masuke saba makubwa na mazuri yanachipuka katika bua moja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Farao akaingia usingizini tena, akaota ndoto ya pili. Akaona masuke saba ya nafaka, yenye afya na mazuri, yanakua katika bua moja.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akalala, akaota ndoto mara ya pili. Tazama, masuke saba yalimea katika bua moja, makubwa, mema.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alipolala tena, akaota mara ya pili. Aliona masuke saba makubwa na mazuri yanachipuka katika bua moja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Farao akaingia usingizini tena akaota ndoto ya pili: Akaona masuke saba ya nafaka, yenye afya na mazuri, yanakua katika bua moja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Farao akaingia usingizini tena akaota ndoto ya pili: Akaona masuke saba ya nafaka, yenye afya na mazuri, yanakua katika bua moja.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akalala, akaota ndoto mara ya pili. Tazama, masuke saba yalimea katika bua moja, makubwa, mema.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alipolala tena, akaota mara ya pili. Aliona masuke saba makubwa na mazuri yanachipuka katika bua moja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipolala tena usingizi akaota mara ya pili, akaona, masuke saba yaliyo manene na mazuri yakitoka katika bua moja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akalala, akaota ndoto mara ya pili. Tazama, masuke saba yalimea katika bua moja, makubwa, mema.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)