Genesis 41:50 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kabla ya miaka ya njaa kuanza, Yosefu alikuwa amekwisha pata wana wawili kwa mkewe, Asenathi, binti Potifera, kuhani wa mji wa Oni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kabla ya miaka ya njaa kuanza, Asenathi binti Potifera, kuhani wa mji wa Oni, alimzalia Yusufu wana wawili wa kiume.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kabla ya kuja miaka ya njaa, Yusufu akazaliwa wana wawili, ambao Asenathi, binti Potifera, kuhani wa Oni, alimzalia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kabla ya miaka ya njaa kuanza, Yosefu alikuwa amekwisha pata wana wawili kwa mkewe, Asenathi, binti Potifera, kuhani wa mji wa Oni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kabla ya miaka ya njaa kuanza, Asenathi binti Potifera, kuhani wa mji wa Oni, alikuwa amemzalia Yosefu wana wawili wa kiume.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kabla ya miaka ya njaa kuanza, Asenathi binti Potifera, kuhani wa mji wa Oni, alikuwa amemzalia Yusufu wana wawili wa kiume.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kabla ya kuja miaka ya njaa, Asenathi, binti Potifera, kuhani wa Oni, alimzalia Yusufu wana wawili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kabla ya miaka ya njaa kuanza, Yosefu alikuwa amekwisha pata wana wawili kwa mkewe, Asenathi, binti Potifera, kuhani wa mji wa Oni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwaka wa njaa ulipokuwa haujaingia bado, Yosefu akazaliwa wana wawili, aliowazaa Asenati, binti Potifera, mtambikaji wa oni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kabla ya kuja miaka ya njaa, Yusufu akazaliwa wana wawili, ambao Asenathi, binti Potifera, kuhani wa Oni, alimzalia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mbele ya miaka ya njaa kuanza, Yosefu alikuwa amekwisha kupata wana wawili kwa muke wake Asenati, binti ya Potifera kuhani wa muji wa Oni.