Genesis 41:52 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwanawe wa pili akamwita Efraimu, akisema, “Mungu amenipa watoto katika nchi ya mateso yangu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwana wa pili akamwita jina Efraimu, akisema, “Ni kwa sababu Mungu amenistawisha katika nchi ya mateso yangu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wa pili akamwita jina lake Efraimu, maana alisema, Mungu amenipa uzazi katika nchi ya mateso yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwanawe wa pili akamwita Efraimu, akisema, “Mungu amenipa watoto katika nchi ya mateso yangu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwana wa pili akamwita Efraimu, akisema, “Ni kwa sababu Mungu amenistawisha katika nchi ya mateso yangu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwana wa pili akamwita Efraimu, akisema, “Ni kwa sababu Mungu amenistawisha katika nchi ya mateso yangu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wa pili akamwita jina lake Efraimu, maana alisema, Mungu amenipa uzazi katika nchi ya mateso yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwanawe wa pili akamwita Efraimu, akisema, “Mungu amenipa watoto katika nchi ya mateso yangu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye wa pili akamwita jina lake Efuraimu (Mazao Mawili) kwa kwamba: Mungu amenipa kuzaa katika nchi ya ukiwa wangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wa pili akamwita jina lake Efraimu, maana alisema, Mungu amenipa uzazi katika nchi ya mateso yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwana wake wa pili akamwita Efuraimu, akisema: “Mungu amenipa watoto katika inchi ya mateso yangu.”