Genesis 41:56 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Njaa ikazidi kuwa kali na kuenea katika nchi yote. Kwa hiyo Yosefu akazifungua ghala zote, akawauzia Wamisri chakula.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Njaa ilipokuwa imeenea katika nchi yote, Yusufu akafungua maghala ya vyakula na kuwauzia Wamisri nafaka, kwa sababu njaa ilikuwa kali mno katika nchi yote ya Misri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Njaa ikawa katika dunia yote pia. Yusufu akazifungua ghala zote, akawauzia Wamisri. Njaa ikawa nzito katika nchi ya Misri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Njaa ikazidi kuwa kali na kuenea katika nchi yote. Kwa hiyo Yosefu akazifungua ghala zote, akawauzia Wamisri chakula.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati njaa ilipokuwa imeenea katika nchi yote, Yosefu akafungua ghala za vyakula na kuwauzia Wamisri nafaka, kwa sababu njaa ilikuwa kali mno katika nchi yote ya Misri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati njaa ilipokuwa imeenea katika nchi yote, Yusufu akafungua ghala za vyakula na kuwauzia Wamisri nafaka, kwa sababu njaa ilikuwa kali mno katika nchi yote ya Misri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Njaa ikawa katika dunia yote pia. Yusufu akazifungua ghala zote, akawauzia Wamisri. Njaa ikawa nzito katika nchi ya Misri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Njaa ikazidi kuwa kali na kuenea katika nchi yote. Kwa hiyo Yosefu akazifungua ghala zote, akawauzia Wamisri chakula.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Njaa ilipokwisha kuipata nchi yote nzima, ndipo, Yosefu alipovifungua vyanja vyote vya ngano vilivyokuwa kwao, akawauzia Wamisri ngano, nayo njaa ikawa kali katika nchi ya Misri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Njaa ikawa katika dunia yote pia. Yusufu akazifungua ghala zote, akawauzia Wamisri. Njaa ikawa nzito katika nchi ya Misri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Njaa ikazidi kuwa kali na kuenea katika inchi yote. Kwa hiyo Yosefu akafungua gala zote, akawauzishia Wamisri chakula.