Genesis 41:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Halafu, baada ya hayo, masuke mengine saba membamba na yaliyokaushwa na upepo mkavu wa jangwani yakatokeza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baadaye, masuke mengine saba yakachipua, yakiwa membamba yaliyokaushwa na upepo wa mashariki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na tazama, masuke saba membamba, yamekaushwa na upepo wa mashariki, yakatokeza baada yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Halafu, baada ya hayo, masuke mengine saba membamba na yaliyokaushwa na upepo mkavu wa jangwani yakatokeza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baadaye, masuke mengine saba yakachipua, yakiwa membamba yaliyonyaushwa na upepo wa mashariki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baadaye, masuke mengine saba yakachipua, yakiwa membamba yaliyonyaushwa na upepo wa mashariki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na tazama, masuke saba membamba, yamekaushwa na upepo wa mashariki, yakatokeza baada yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Halafu, baada ya hayo, masuke mengine saba membamba na yaliyokaushwa na upepo mkavu wa jangwani yakatokeza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akaona, masuke saba mengine yakichipuka nyuma yao, nayo ni membamba kwa kunyaushwa na upepo wenye joto.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na tazama, masuke saba membamba, yamekaushwa na upepo wa mashariki, yakatokeza baada yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu, nyuma ya hayo, masuke mengine saba membamba na yaliyokaushwa na upepo mukali wa jangwa yakatokea.