Genesis 41:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hayo masuke saba membamba yakayameza yale masuke saba makubwa yaliyojaa nafaka. Basi, Farao alipoamka akagundua kuwa ilikuwa ndoto.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Masuke yale membamba yakameza yale masuke saba yenye afya na yaliyojaa. Basi Farao akaamka kutoka usingizini, na kumbe ilikuwa ndoto.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha hayo masuke membamba saba yakayala yale masuke saba makubwa yaliyojaa. Basi Farao akaamka, kumbe! Ni ndoto tu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hayo masuke saba membamba yakayameza yale masuke saba makubwa yaliyojaa nafaka. Basi, Farao alipoamka akagundua kuwa ilikuwa ndoto.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Masuke yale membamba yakameza yale masuke saba yenye afya na yaliyojaa. Basi Farao akaamka kutoka usingizini, kumbe ilikuwa ndoto.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Masuke yale membamba yakameza yale masuke saba yenye afya na yaliyojaa. Basi Farao akaamka kutoka usingizini, kumbe ilikuwa ndoto.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha hayo masuke membamba saba yakayala yale masuke saba makubwa yaliyojaa. Basi Farao akaamka, kumbe! Ni ndoto tu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hayo masuke saba membamba yakayameza yale masuke saba makubwa yaliyojaa nafaka. Basi, Farao alipoamka akagundua kuwa ilikuwa ndoto.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haya masuke membamba yakayameza yale masuke manene yaliyojaa ngano. Ndipo, Farao alipoamka, akaona, ya kuwa ameota.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha hayo masuke membamba saba yakayala yale masuke saba makubwa yaliyojaa. Basi Farao akaamka, kumbe! Ni ndoto tu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yale masuke saba membamba yakameza yale masuke saba makubwa yaliyojaa ngano. Basi, mufalme alipoamuka akatambua kwamba ilikuwa ndoto.