Genesis 41:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo, yule mtunza vinywaji mkuu akamwambia Farao, “Leo nayakumbuka makosa yangu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo mnyweshaji mkuu alimwambia Farao, “Leo nimekumbushwa kosa langu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi mkuu wa wanyweshaji akamwambia Farao akisema, Nayakumbuka makosa yangu leo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo, yule mtunza vinywaji mkuu akamwambia Farao, “Leo nayakumbuka makosa yangu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo mnyweshaji mkuu alipomwambia Farao, “Leo nimekumbushwa kuhusu kosa langu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo mnyweshaji mkuu alipomwambia Farao, “Leo nimekumbushwa kuhusu kosa langu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi mkuu wa wanyweshaji akamwambia Farao akisema, Nayakumbuka makosa yangu leo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo, yule mtunza vinywaji mkuu akamwambia Farao, “Leo nayakumbuka makosa yangu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, mkuu wa watunza vinywaji alipomwambia Farao kwamba: Leo hivi ninayakumbuka makosa yangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi mkuu wa wanyweshaji akamwambia Farao akisema, Nayakumbuka makosa yangu leo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu, yule mutunza vinywaji mukubwa akamwambia mufalme: “Leo ninakumbuka makosa yangu!