Genesis 42:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Yosefu akawaambia, “Ni kama nilivyosema: Nyinyi ni wapelelezi tu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yusufu akawaambia, “Kama nilivyowaambia: Ninyi ni wapelelezi!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yusufu akawaambia, Ndivyo nilivyowaambia, nikisema, Wapelelezi ninyi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Yosefu akawaambia, “Ni kama nilivyosema: nyinyi ni wapelelezi tu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yosefu akawaambia, “Ni sawa kabisa kama nilivyowaambia: Ninyi ni wapelelezi!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yusufu akawaambia, “Ni sawa kabisa kama nilivyowaambia: Ninyi ni wapelelezi!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yusufu akawaambia, Ndivyo nilivyowaambia, nikisema, Wapelelezi ninyi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Yosefu akawaambia, “Ni kama nilivyosema: Nyinyi ni wapelelezi tu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Yosefu akwaambia: Ni hivyo, nilivyowaambia kwamba: Mu wapelelezi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yusufu akawaambia, Ndivyo nilivyowaambia, nikisema, Wapelelezi ninyi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Yosefu akawaambia: “Ni kama vile nilivyosema: ninyi ni wapelelezi tu.