Genesis 42:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo ndugu kumi wa Yosefu wakaenda Misri kununua nafaka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo ndugu kumi wa Yusufu wakateremka huko Misri kununua nafaka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi ndugu kumi wa Yusufu wakashuka Misri ili wanunue nafaka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo ndugu kumi wa Yosefu wakaenda Misri kununua nafaka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo wale ndugu kumi wa Yosefu, wakatelemka huko Misri kununua nafaka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo wale ndugu kumi wa Yusufu, wakateremka huko Misri kununua nafaka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi ndugu kumi wa Yusufu wakashuka Misri ili wanunue nafaka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo ndugu kumi wa Yosefu wakaenda Misri kununua nafaka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basi, kaka zake Yosefu kumi wakatelemka kununua ngano kule Misri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi ndugu kumi wa Yusufu wakashuka Misri ili wanunue nafaka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivyo wandugu kumi za Yosefu wakaenda kwa kununua ngano.