Genesis 43:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msimamizi huyo akafanya kama alivyoagizwa: Akawapeleka wale wageni nyumbani kwa Yosefu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msimamizi akafanya kama Yusufu alivyomwambia na akawachukua wale watu nyumbani mwa Yusufu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yule mtu akafanya kama Yusufu alivyomwambia Naye akawaleta watu hao nyumbani mwa Yusufu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msimamizi huyo akafanya kama alivyoagizwa: akawapeleka wale wageni nyumbani kwa Yosefu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yule Msimamizi akafanya kama Yosefu alivyomwambia na akawachukua wale watu nyumbani kwa Yosefu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yule Msimamizi akafanya kama Yusufu alivyomwambia na akawachukua wale watu nyumbani kwa Yusufu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yule mtu akafanya kama Yusufu alivyomwambia Naye akawaleta watu hao nyumbani mwa Yusufu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msimamizi huyo akafanya kama alivyoagizwa: Akawapeleka wale wageni nyumbani kwa Yosefu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yule mtu akafanya, kama Yosefu alivyomwagiza, akawaingiza hao watu nyumbani mwa Yosefu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yule mtu akafanya kama Yusufu alivyomwambia Naye akawaleta watu hao nyumbani mwa Yusufu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musimamizi yule akafanya kama vile alivyoagizwa. Akawapeleka wale wageni kwenye nyumba ya Yosefu.