Genesis 43:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huyo msimamizi alipowakaribisha nyumbani kwa Yosefu, akawapa maji ya kunawa miguu yao, na punda wao akawalisha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msimamizi akawapeleka wale watu nyumbani mwa Yusufu, akawapa maji ya kunawa miguu, na kuwapa punda wao majani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtu yule akawaleta wale watu nyumbani mwa Yusufu, akawapa maji, wakatawadha miguu, akawapa punda zao chakula.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huyo msimamizi alipowakaribisha nyumbani kwa Yosefu, akawapa maji ya kunawa miguu yao, na punda wao akawalisha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msimamizi akawapeleka wale watu katika nyumba ya Yosefu, akawapa maji ya kunawa miguu na kuwapa punda wao majani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msimamizi akawapeleka wale watu katika nyumba ya Yusufu, akawapa maji ya kunawa miguu na kuwapa punda wao majani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtu yule akawaleta wale watu nyumbani mwa Yusufu, akawapa maji, wakanawa miguu, akawapa punda wao chakula.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huyo msimamizi alipowakaribisha nyumbani kwa Yosefu, akawapa maji ya kunawa miguu yao, na punda wao akawalisha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akawaingiza nyumbani mwake Yosefu, akawapa maji ya kuiosha miguu yao, nao punda wao akawapata chakula.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtu yule akawaleta wale watu nyumbani mwa Yusufu, akawapa maji, wakatawadha miguu, akawapa punda zao chakula.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yule musimamizi alipowakaribisha ndani ya nyumba kwa Yosefu, akawapa maji ya kunawa miguu yao, na punda wao akawakulisha.