Genesis 44:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yuda na nduguze wakafika nyumbani kwa Yosefu naye Yosefu alikuwapo bado nyumbani. Basi, wakamwinamia kwa heshima,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yusufu alikuwa bado yuko nyumbani mwake Yuda na ndugu zake walipoingia. Wote wakajitupa chini mbele yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaja Yuda na ndugu zake nyumbani kwa Yusufu, naye mwenyewe alikuwamo, nao wakamwangukia kifudifudi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yuda na nduguze wakafika nyumbani kwa Yosefu naye Yosefu alikuwapo bado nyumbani. Basi, wakamwinamia kwa heshima,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yosefu alikuwa bado yuko nyumbani mwake wakati Yuda na kaka zake walipoingia, wote wakajitupa chini mbele yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yusufu alikuwa bado yuko nyumbani mwake wakati Yuda na kaka zake walipoingia, wote wakajitupa chini mbele yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaja Yuda na ndugu zake nyumbani kwa Yusufu, naye mwenyewe alikuwamo, nao wakamwangukia kifudifudi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yuda na nduguze wakafika nyumbani kwa Yosefu naye Yosefu alikuwapo bado nyumbani. Basi, wakamwinamia kwa heshima,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yuda na ndugu zake walipoingia nyumbani mwa Yosefu, naye alikuwa angalimo bado, nao wakamwangukia chini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaja Yuda na ndugu zake nyumbani kwa Yusufu, naye mwenyewe alikuwamo, nao wakamwangukia kifudifudi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yuda na wandugu zake wakafika kwa Yosefu naye Yosefu alikuwa bado katika nyumba. Basi, wakainama mbele yake kwa heshima,