Genesis 44:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mmoja alitoweka, nami nikasema, bila shaka ameraruliwa vipandevipande na mnyama wa porini, maana sijapata kumwona tena.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mmoja alipotea, nami nikasema, “Hakika ameraruliwa vipande vipande.” Nami sijamwona tangu wakati huo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
mmoja alitoka kwangu, nikasema, Bila shaka ameraruliwa, wala sikumwona tangu hapo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mmoja alitoweka, nami nikasema, bila shaka ameraruliwa vipandevipande na mnyama wa porini, maana sijapata kumwona tena.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mmojawapo alipotea, nami nikasema, “Hakika ameraruliwa vipande vipande.” Nami sijamwona tangu wakati huo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mmojawapo alipotea, nami nikasema, “Hakika ameraruliwa vipande vipande.” Nami sijamwona tangu wakati huo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
mmoja alitoka kwangu, nikasema, Bila shaka ameraruliwa, wala sikumwona tangu hapo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mmoja alitoweka, nami nikasema, bila shaka ameraruliwa vipandevipande na mnyama wa porini, maana sijapata kumwona tena.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
mmoja alipoondoka kwangu, nikasema: Ameraruliwa na nyama, maana sikumwona tena mpaka sasa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
mmoja alitoka kwangu, nikasema, Bila shaka ameraruliwa, wala sikumwona tangu hapo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
mumoja alitoweka, nami nikasema, bila shaka ameraruliwa vipandevipande na nyama wa pori, maana sijapata kumwona tena.