Genesis 44:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, kama akipatikana mmoja wetu ana kikombe hicho, na auawe, na sisi wengine wote tutakuwa watumwa wako.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ikiwa yeyote miongoni mwa watumishi wako atapatikana nacho, auawe, na sisi wengine tutakuwa watumwa wa bwana wangu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Atakayeonekana kuwa nacho miongoni mwa watumwa wako, na afe, na sisi nasi tutakuwa watumwa wa bwana wangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, kama akipatikana mmoja wetu ana kikombe hicho, na auawe, na sisi wengine wote tutakuwa watumwa wako.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ikiwa ye yote miongoni mwa watumishi wako atapatikana nacho, auawe, na sisi wengine tutakuwa watumwa wa bwana wangu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ikiwa yeyote miongoni mwa watumishi wako atapatikana nacho, auawe, na sisi wengine tutakuwa watumwa wa bwana wangu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Atakayeonekana kuwa nacho miongoni mwa watumwa wako, na afe, na sisi nasi tutakuwa watumwa wa bwana wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, kama akipatikana mmoja wetu ana kikombe hicho, na auawe, na sisi wengine wote tutakuwa watumwa wako.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Atakayeonekana kuwa nacho miongoni mwao watumwa wako na afe! Nasi tutakaopona tutakuwa watumwa wake bwana wetu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Atakayeonekana kuwa nacho miongoni mwa watumwa wako, na afe, na sisi nasi tutakuwa watumwa wa bwana wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, kama akipatikana mumoja wetu ana kikombe hicho, auawe na sisi wengine wote tutakuwa watumwa wako.”