Genesis 45:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utakaa karibu nami katika eneo la Gosheni: Wewe, wana wako na wajukuu wako, mifugo yako na mali yako yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nawe utaishi katika nchi ya Gosheni na kuwa karibu nami: wewe, watoto wako na wajukuu wako, makundi yako ya kondoo, mbuzi na ng’ombe, pamoja na vyote ulivyo navyo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe utakaa katika nchi ya Gosheni, utakuwa karibu nami, wewe, na wanao, na wana wa wanao, na wanyama wako, ng'ombe zako, na yote uliyo nayo. Nami nitakulisha huko;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utakaa karibu nami katika eneo la Gosheni: wewe, wana wako na wajukuu wako, mifugo yako na mali yako yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nawe utaishi katika nchi ya Gosheni na kuwa karibu nami, wewe, watoto wako na wajukuu wako, makundi yako ya kondoo, mbuzi na ng'ombe, pamoja na vyote ulivyo navyo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nawe utaishi katika nchi ya Gosheni na kuwa karibu nami, wewe, watoto wako na wajukuu wako, makundi yako ya kondoo, mbuzi na ng’ombe, pamoja na vyote ulivyo navyo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe utakaa katika nchi ya Gosheni, utakuwa karibu nami, wewe, na wanao, na wana wa wanao, na wanyama wako, ng'ombe wako, na yote uliyo nayo. Nami nitakulisha huko;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utakaa karibu nami katika eneo la Gosheni: Wewe, wana wako na wajukuu wako, mifugo yako na mali yako yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Na ukae katika nchi ya Goseni, upate kuwa karibu yangu, wewe na wanao na wana wa wanao na mbuzi na kondoo wako na ng'ombe wako navyo vyote, ulivyo navyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe utakaa katika nchi ya Gosheni, utakuwa karibu nami, wewe, na wanao, na wana wa wanao, na wanyama wako, ng’ombe zako, na yote uliyo nayo. Nami nitakulisha huko;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utakaa karibu nami katika eneo la Goseni: wewe, wana wako na wajukuu wako, nyama wako wa kufugwa na mali yako yote.