Genesis 45:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utakapokuwa Gosheni, mimi nitakutunza wewe, jamaa yako pamoja na mifugo yako ili msije mkafa njaa, kwani bado miaka mitano zaidi ya njaa.’”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitawatunza huko, kwa sababu bado iko miaka mingine mitano inayokuja ya njaa. La sivyo, wewe na nyumba yako na wote ulio nao mtakuwa fukara.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
maana bado imesalia miaka mitano ya njaa; usije ukaingia katika uhitaji, wewe, na nyumba yako, na yote uliyo nayo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utakapokuwa Gosheni, mimi nitakutunza wewe, jamaa yako pamoja na mifugo yako ili msije mkafa njaa, kwani bado miaka mitano zaidi ya njaa.’”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitawatunza huko, kwa sababu bado iko miaka mingine mitano inayokuja ya njaa. La sivyo, wewe na nyumba yako na wote ulionao mtakuwa fukara.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitawatunza huko, kwa sababu bado iko miaka mingine mitano inayokuja ya njaa. La sivyo, wewe na nyumba yako na wote ulio nao mtakuwa fukara.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
maana bado imesalia miaka mitano ya njaa; usije ukaingia katika uhitaji, wewe, na nyumba yako, na yote uliyo nayo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utakapokuwa Gosheni, mimi nitakutunza wewe, jamaa yako pamoja na mifugo yako ili msije mkafa njaa, kwani bado miaka mitano zaidi ya njaa.’”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitakutunza huku, kwani ingaliko bado miaka mitano ya njaa; zisiangamizwe mali zako wewe nazo zao walio wa mlango wako, nazo zao wote, ulio nao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
maana bado imesalia miaka mitano ya njaa; usije ukaingia katika uhitaji, wewe, na nyumba yako, na yote uliyo nayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utakapokuwa Goseni, mimi nitakutunza wewe na jamaa yako pamoja na nyama wako kusudi musikufe na njaa, maana kungali miaka mitano zaidi ya njaa.’ ”