Genesis 45:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, wana wa Israeli wakafanya kama walivyoagizwa. Yosefu akawapa magari kulingana na maagizo ya Farao na chakula cha njiani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo wana wa Israeli wakafanya hivyo. Yusufu akawapa magari ya kukokotwa kama Farao alivyoagiza, na pia akawapa chakula cha safari yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndivyo walivyofanya wana wa Israeli. Yusufu akawapa magari kama Farao alivyoamuru, akawapa na chakula cha njiani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, wana wa Israeli wakafanya kama walivyoagizwa. Yosefu akawapa magari kulingana na maagizo ya Farao na chakula cha njiani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo wana wa Israeli wakafanya hivyo. Yosefu akawapa magari ya kukokotwa, kama Farao alivyoagiza, pia akawapa mahitaji kwa ajili ya safari yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo wana wa Israeli wakafanya hivyo. Yusufu akawapa magari ya kukokotwa, kama Farao alivyoagiza, pia akawapa mahitaji kwa ajili ya safari yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndivyo walivyofanya wana wa Israeli. Yusufu akawapa magari kama Farao alivyoamuru, akawapa na chakula cha njiani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, wana wa Israeli wakafanya kama walivyoagizwa. Yosefu akawapa magari kulingana na maagizo ya Farao na chakula cha njiani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wana wa Isiraeli wakafanya hivyo, maana Yosefu akawapa magari kwa ile amri ya Farao, akawapa nazo pamba za njiani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndivyo walivyofanya wana wa Israeli. Yusufu akawapa magari kama Farao alivyoamuru, akawapa na chakula cha njiani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, wana wa Israeli wakafanya kama vile walivyoagizwa. Yosefu akawapa magari kulingana na maagizo ya mufalme na chakula cha njia.