Genesis 45:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tena alimpelekea baba yake zawadi hizi kwa ajili ya safari yake: Punda kumi waliobeba bidhaa bora za Misri, punda jike kumi waliobeba nafaka, mikate na vyakula vingine.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivi ndivyo vitu alivyotuma kwa baba yake: punda kumi waliobeba vitu vizuri vya Misri, punda jike kumi waliobeba nafaka, mikate na mahitaji mengine ya safari.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na babaye akampelekea kama hivi, punda kumi waliochukua mema ya Misri, na punda wake kumi waliochukua nafaka, na mikate, na chakula kwa babaye njiani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tena alimpelekea baba yake zawadi hizi kwa ajili ya safari yake: punda kumi waliobeba bidhaa bora za Misri, punda jike kumi waliobeba nafaka, mikate na vyakula vingine.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivi ndivyo vitu alivyotuma kwa baba yake: punda kumi waliochukua vitu vizuri vya Misri, punda wake kumi waliobeba nafaka, mikate na mahitaji mengine ya safari.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivi ndivyo vitu alivyotuma kwa baba yake: punda kumi waliochukua vitu vizuri vya Misri, punda wake kumi waliobeba nafaka, mikate na mahitaji mengine ya safari.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na baba yake akampelekea vifuatavyo: punda kumi waliochukua mema ya Misri, na punda majike kumi waliochukua nafaka, na mikate, na chakula cha njiani kwa babaye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tena alimpelekea baba yake zawadi hizi kwa ajili ya safari yake: Punda kumi waliobeba bidhaa bora za Misri, punda jike kumi waliobeba nafaka, mikate na vyakula vingine.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye baba yake akampelekea vitu hivi: punda kumi waliochukua vitu vizuri vya Misri na majike ya punda kumi waliochukua ngano na chakula kingine na pamba za njiani za baba yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na babaye akampelekea kama hivi, punda kumi waliochukua mema ya Misri, na punda wake kumi waliochukua nafaka, na mikate, na chakula kwa babaye njiani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tena alimupelekea baba yake zawadi hizi kwa ajili ya safari yake: punda kumi waliobeba vitu bora vya Misri, na punda dike kumi waliobeba ngano, mikate na vyakula vingine.